wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania MIAKA 61 YA UHURU: Je, ni kweli wananchi hawaitaki CCM na wamewapuuza wapinzani?

    Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia tunavyoanza kujitegemea,kila nikiusoma utenzi wa tujifunze lugha yetu,kitabu cha 7 najiona mwenye...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" Ilianzishwa na Wapinzani

    Kwema Wakuu! Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe. Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika. Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona wapinzani wametulia kimya ujue mema ya nchi wanakula na watawala; Wakibinywa, tabu yao huifanya tabu yetu

    Siyo Tundu lissu wala Mbowe sasa wote wapo kimya hali shwaaari! Walituaminisha Serikali inafuja pesa kujenga miundombinu, walituaminisha bwawa LA nyerere siyo kipaumbele, walituaminisha utawala awamu ya tano hautoi huduma mhimu kwa wananchi! Sasa tangu utawala wa awamu ya Sita uwashike mkono...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili. Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Berlin na Moscow sasa ni wapinzani - Rais wa Ujerumani

    Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama dhidi ya kila mmoja. Alitaja operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine kama sababu ya kutathminiwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nasaha: Simba SC tuingie uwanjani huku tukiwaheshimu wapinzani wetu Primero De Agasto

    Amani iwe nanyi. Natumaini wachezaji na viongozi wangu wa chama langu la Wekundu wa Msimbazi wapo salama kabisa. Bila ya kupepesa macho wala kung'ata maneno napenda niwaase wachezaji kuwa waingie uwanjani huku wakiwaheshimu wapinzani wetu De Agosto, wakumbuke kuwa haijaisha mpaka iishe. Jana...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Tuendelee kuungana na kuwa kitu kimoja na Tuendelee kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Mama Samia, Wapinzani Wameishiwa pumzi

    Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania REPOA: 88% ya Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya Serikali

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

    Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto Ruhusuni mtanishukuru baadae
  16. Shark

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
  18. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto alaumiwa kurubuni wapinzani

    Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge wake ili waunge mkono muungano wa Kenya Kwanza anaouongoza. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
Back
Top Bottom