wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Njaa Tanzania imewapa wapinzani agenda ya mikutano ya hadhara

    Mwenye njaa ni rahisi kurubunika na kusukumwa kufanya lolote ilhali mwenye shibe hupuuzia hata mambo yenye mustakabali wa maisha yake. Zipo nchi nyingi duniani ambazo zimeingia kwenye historia ya machafuko mabaya kuwahi kuwakumba; kufuatia njaa:- 1. Flour War (Vita ya Unga) ya mwaka 1775...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mpinzani halisi mwenye contents. Tatizo wapinzani wanapingana

    NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni lazima wamtukane Hayati Magufuli kwani aliyowafanyia yanaumiza mioyo yao

    Salute, vyama vya upinzani viwili vikubwa Tanzania,badara ya kueleza namna nzuri ambayo watatumia kuondoa kero za wananchi na kuwapunguzia mzigo wa maisha magumu, badara yake vimejikita kumshambulia mtu ambae hayupo madarakani wala duniani. Matusi ambayo sina uhakika kama wanahitaji kuyasikia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wenyewe ndo hawa!? Haina haja ya kuwafungia kufanya mikutano

    Wakuu, Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana? Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano, ukiwasikiliza hawana hoja yenye mashiko hata moja. Kwa aina ya wapinzani hao kuchukua dola kwanza wasahau...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ujinga mliofanya Singida ndo chanzo cha kufungwa na Wapinzani wetu

    Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika. Tukawaambia mkawakabe watu flani. Mmeenda kufanya mambo ya kujichosha akili mapema. Mnagoma kuingia vyumbani. Halafu mlivyowajinga mnacheza...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Rais Samia kuvuna kura za vijana, wanawake, wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ZIPO kila dalili kwamba Dkt. Samia Suluhu Hassan, atagombea nafasi ya urais anayoishikilia sasa katika uchaguzi mkuu ujao – miaka mitatu kutoka sasa. Mbali na “kufokea” waliozusha kwamba hatagombea na yeye mwenyewe kueleza kwamba...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

    Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuupiga mwingi, wapinzani watakuja kukosa cha kusema kabisa 2025

    Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wapinzani watakubali ukweli kuwa CCM haina mbadala wake

    Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja na miaka yaja ambapo wapinzani watakubali kuwa CCM ndio chama pekee kinachopaswa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano katika kuliongoza taifa letu, watakubali kuwa Sera ajenda Dira na muelekeo wa CCm ndio sahihi na unatosha kutuvusha Watanzania kuelekea nchi ya...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Yanga anaweza kupoteza point, je wapinzani wao simba wanaweza kutokupeteza?

    Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani. Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA. Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  20. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanafurahia Rais Samia akiharibu

    Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu. Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia...
Back
Top Bottom