kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi?
Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili kutekeleza haki yao ya kikatiba.
Aidha, amezitaka mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kufanyia...
Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
Habari wanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri. Niko salama hapa Morogoro.
Nimeumiza sana kichwa kuwaza namna ya kutumia teknolojia kwa ajili ya kuwasaidia wagombea kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Nlikuwa naomba uzoefu kwa anayefahamu. Nini kifanyike? Unatumia mbinu zipi? Ipi ina smaku/kivutio...
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho kwa zoezi lijalo, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya: https://jamii.app/SpaceMarch22...
Kwa hamasa na mchecheto wa wananchi katika zoezi la uandikishaji na maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura, ni wazi wana hamu sana kushiriki katika uchaguzi mkuu wa kihistoria wa october2025, na kwa kiasi kikubwa uchaguzi huo utawavutia zaidi vijana ambao wana shauku kubwa na ya kipekee...
Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji.
Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
Wakuu,
Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa.
Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
Wadau hamjamboni nyote?
Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza.
Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura.
Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba.
Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni.
Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa...
Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura linaloendelea Zanzibar.
Chini ya mpango huo wameanza kwa kufungua mashitaki dhidi ya mkuu wa wilaya ya...
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.