wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Local Content imeishia wapi? Kivuko kukarabatiwa nje ya nchi

    Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha nchi jirani wakati angepewa Songoro Marine ambaye ni mtanzania fedha zingezunguka Tanzania. Vijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

    Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
  3. JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...
  4. JamiiForums Tanzania TCRA wamepeleka wapi pesa zilizokuwa kwenye line zilizofungwa?

    Juzi nimesoma tangazo kuwa TCRA wamezima/wamefunga line laki Tisa (kama sikosei). Najiuliza TU, hizo pesa kwenye hizo line huwa zinapelekwa wapi? Wahusika wanazipateje? Tuelimishane tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  6. JamiiForums Tanzania Zile Hekaya za 'Wanyonge' na 'Mabeberu' zimefia wapi?

    Wasalaam wana JF Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone. Nimekua sasa, hakika ya ulimwengu na malimwengu ni mengi na ya kustaajabisha. katika kipindi fulani niliaminishwa kwamba kuwa mnyonge ndiyo alama ya uzalendo na kwamba asiye utaka unyonge ni kibaraka wa mabeberu au ni beberu kuu lenyewe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Simu inaita ila sijui iko wapi- msaada

    Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata? maeneo nayafahau ila sijui exact place
  8. JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iko wapi? Wananchi wanaibiwa kila kona

    Angalieni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

    Kwanza kabisa ningependa niwasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi huku lengo kubwa likiwa ni kupashana habari mbalimbali na kubadilishana mawazo yanayoweza kutufungua na kuleta tija zaidi kwenye jamii inayotuzunguka. Kwanza kabisa ningependa...
  11. JamiiForums Tanzania Mnapata wapi wapenzi?

    Salaaam vijana wenzangu. Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja? Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  13. JamiiForums Tanzania Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, ugumu wa kupeana connection za kazi unatoka wapi

    Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie? Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
  15. JamiiForums Tanzania Hela ya Urusi iliyotaifishwa kutumika Ukraine, hivi Putin hadi aguswe wapi ndio afanye kweli

    Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule... =================== Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
  16. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi hivi vitu?

    Naombeni msaada wenu wadau kuna mdogo wangu anahitaji hivi vifaa.... Plates za mazoezi zinazotengenezwa na vijana wetu wa hapa hapa bongo. Huwa uzito kwa plate moja ni kg 10-15. Hata kama zimetumika haina shida. Tuwasiliane please.
  17. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata deodorant za FA kwa Morogoro?

    Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon. Sasa nmejaribu kutafuta sana naona ni kama sasa hivi zimekuwa adimu madukani. Msaada ni wapi nitapata, nipo Morogoro.
  20. JamiiForums Tanzania Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…