wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    Hii video inasambaa Sana. Kwani mhusika aliyepo hai video yake Ipo wapi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya car insurance kwa leo

    Wakuu habari. Gari yangu imeisha insurance bila kujua muda umeisha, naweza pata wapi huduma kwa siku ya leo. Ni third part Asanteni sana
  3. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

    Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
  4. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Cover za kufunika pikipiki napata wapi?

    Sina mengi picha inajieleza. Na bei zake zipoje?
  5. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata CORN STARCH?

    Habari wakuu. Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

    Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit. Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

    Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  9. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunakwama wapi?

    Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana. Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea. Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
  11. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Wapi wataonesha Fainali ya Ufaransa dhidi ya Argentina kwenye 'screen' kubwa?

    Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League. Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big screen? Maana experience yake huwa ni nzuri saaaana, kuna muda kutokana na mashabiki wengi unahisi kama...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

    Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
  13. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nyota angani zimepotelea wapi? Wanajiografia tusaidie

    Habari ndugu wanaJF, Zamani tunakua ilikuwa anga likiwa bright hasa nyakati za usiku, wakati unasubiri chakula cha usiku ili usisinzie baba alikuwa anatuambia nenda kahesabu nyota na zilikuwa nyingi mno na zilikuwa zikionekana katika makundi. Sasa je, siku hizi zimekwenda wapi? Au Ni Mimi ndio...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Pesa za riba zinazolipwa kwenye mikopo ya benki zinatoka wapi?

    Habarini wakuu. Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza. Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa benki ya biashara kwa riba ya 9 % maana yake benki inatakiwa kurudisha bilioni mia moja na tisa...
  15. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Machawa wa Mwigulu na Januari Makamba waliokuwa mitandaoni 2015 wako wapi leo?

    Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika sana na jamii na wanafaa kushika madaraka makubwa ya nchi. Najiuliza leo Mwaka 2022 Makamba na...
  16. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Wapi Clara Luvanga

    Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17. Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona India na Serengeti Girls. Tujuzwe, yuko wapi?
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wapi zaidi kati ya Mbinga na Karatu

    Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa. Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege kiboko ya nyoka(Secretary bird) anapatikana wapi Tanzania? Kwa kiswahili anaitwaje?

  19. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Je, sisi kama taifa tunakosea wapi kuelekea nchi ya kiviwanda na uwekezaji?

    Ningependa kuwa karibisha wadau wote wa Jamiiforum watao penda kushiriki katika mjadala huu wenye swali liulizalo. Je sisi kama taifa tuna kosea wapi katika wizara ya nishati kuelekea katika nchi ya kiviwanda na uwekezaji ? Katika mjadala huu ningependa kutoa mfano utakao tupa mwangaza kidogo...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
Back
Top Bottom