Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,320
- 60,506
Mwaka unaelekea ukingoni, umeajiriwa labda unakipato cha laki mbili, sita, milioni n.k, lakini huna hata genge la nyanya wala supu; angalau kila siku uwe unaangusha mbuzi mmoja.
Kwa kifupi, unaishi kwa mshahara tu au uchawa; tatizo ni nini?
Na mpaka sasa umechukua hatua gani?
Kwa kifupi, unaishi kwa mshahara tu au uchawa; tatizo ni nini?
Na mpaka sasa umechukua hatua gani?