wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitasa kama hiki nitakipata wapi kwa DAR?

  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema haki kwanza wapo wapi?

    Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya Iran ?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chanjo hatupewi lakini tunatozwa malipo mpakani Mtukula na Kasumulu, fedha zinakwenda wapi?

    Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya vaccination Shilingi 10,000. Lakini cha ajabu hawapigi hizo dawa kwenye magari, baada ya kutoka nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

    Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu. Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wajameni FATMA KARUME aliishia wapi?

    Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
  6. R

    JamiiForums Tanzania ICC imeishia wapi?

    Naona kimya as if nothing had happened in TANGANYIKA
  7. JamiiForums Tanzania Kuzimu ni wapi?

    Kuzimu ni chini ya ardhi sehemu mahali yenye maeneo mengi ni zaidi ya moja ,kuna eneo la kwanza mapokezi shiole mapkizi, ni kama mapokezi , kuna eneo la njia panda lenye njia mbili milango miwili 1)mlango geti wa giza unaokaliwa na majeshi ya mapepo wabaya..kuelekea vyumba vya kuzimu za...
  8. JamiiForums Tanzania Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
  9. JamiiForums Tanzania Upo na stress ukiwa wapi? Au una enjoy ukiwa wapi?

    Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo All in all sita wafundisha vyote sawa 😄 Happy Easter Day in advance
  10. JamiiForums Tanzania Iko wapi zawadi kutoka mwezini tulipewa na rais Richard Nixon

    Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania. Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi (zenye ukubwa wa punje za mchele) zilizowekwa ndani ya tufe la plastiki, Bendera ndogo ya Tanzania ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Chuki ya Watanzania dhidi ya watu hawa ilianzia wapi?

    Huwa sielewi, chuki za Watanzania dhidi ya 1. Wasomi 2. Walimu 3. Waajiriwa Ilianzia wapi. Kosa la hao watu ni nini maana nimeona threads nyingi zinaanzishwa kuwaponda. They're just living their lives like everyone else. Why hating them?
  12. JamiiForums Tanzania Je, nianzie wapi kufikia lengo langu?

    Wakuu habari, natumai mko poa kabisa. Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana. Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink. Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka TMDA...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

    Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
  14. JamiiForums Tanzania Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi? Mbona kama kakata tamaa? Je anataka kutukimbia watanzania? Anataka kwenda wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya kumfungia Diara mko wapi? Kama tatizo ni posho nitawalipa

    Huwezi kutoka kwenu Mali kuja hapa kutukana watu na kukoromea marefa. Afungiwe haraka sana kuanzia mechi tano. Mnasuburi nini mpaka muda huu? Kama hamna posho za kikao, semeni mimi nitawalipa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  18. JamiiForums Tanzania Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  19. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi mnafungia waamuzi kila siku hamjiulizi shida iko wapi i jitathmini hii n aibu kwa soka letuu

    Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria Mna shida kubwa sana snaaaa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…