wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  2. JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye gambe hata yule hajaenda shule anaporomosha lugha ya malkia

    Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana. Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo.. Lakini msahiliwa huyuhuyu...
  4. JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hapa ni wapi?

  7. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mlisema wanawake wa aina hii wanapatikana wapi hapa nchini?

  8. W

    JamiiForums Tanzania Hivi 'single' ya Dkt. Slaa kuhusu DP World imeishia wapi?

    Alikuja na single yake ya bandari kwa speed sana. Katika kujaribu kuhakikisha inabamba vema masikioni mwa Watanzania akawashirikisha rapa kadhaa. Hata hivyo single imebuma mazima; haisikiki wala haitakiwi. Hivi shida ni nini wadau single ile kubuma kibudu namna ile? Karibuni.
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya "Kwenu" inatofautiana, si kila mtu kwao yao inalingana, wewe kwenu ni wapi?

    Naona hili neno huwa linatumika ndivyo sivyo kwa kumaanisha ni mtu kurudi kwa ndugu zake vijijini, uhalisia upo tofauti. Kwenu ni kule ambako una ukaribu nako, ni sehemu mnayoshirikiana nje ya misiba na sherehe. Kuna wengine kwao yao inaishia kwa wazazi wao, kaka zao, dada zao na wadogo zao...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7. Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani Ngasa Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
  12. JamiiForums Tanzania Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

    Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu! Sjui china na Urusi watafanya...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  14. JamiiForums Tanzania Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

    Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Bay swing/Rocking chair?

    Habari zenu wadau, Naulizia kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Baby Rocking chair/Baby swing ya kutumia umeme tafadhali?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowasa yupo wapi?

    Nimemkumbuka sana Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa. Naombaeni kujuzwa Kwa anayefahamu alipo na anafanya nini Kwa sasa.....
  17. JamiiForums Tanzania Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa , ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilisema Jumatano, ikijibu maswali kutoka kwa askofu. Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the Doctrine of the Faith, haikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato. Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila wanalofanya linakwama iwe ajira, mahusiano na kipato. Wapo watu ambao mambo yao yamewanyokea kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania "Maadili ya Kitanzania" yameandikwa wapi nikayasome?

    Huwa nasikia tu, ati umevunja maadili ya kitanzania, mara sijui jambo hili limekiuka maadili ya kitanzania! Hata ukikata uno la mayenu unaambiwa umevunja maadili ya kitanganyika! Ukivaa mabuti kama ya JAY Z unaambiwa umekiuka sijui MILA ZA KITANGANYIKA! Kuna wale watu wenye fikra za ujima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…