Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Jamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...
Utapata nami ntasaidia kukutafutia
 
Jamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...
Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa ya Kinondoni...
 
Back
Top Bottom