wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Nipo Magomeni na sioni mtu. Mko wapi tuanze safari kwenda mnazi mmoja?

    Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tunaandamana kwasababu gani, kutoka wapi kwenda wapi kwa nani?

    Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  4. N

    JamiiForums Tanzania "Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

    Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania. Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita. Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
  5. D

    JamiiForums Tanzania TCRA Polisi wako wapi watu wanaibiwa kupitia hii mikopo mtandaoni? Jerry Silaa msaidie Rais

    Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

    Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kadi (N- Card) naishi Tegeta , je naipata wapi?

    Ni muhimu sana Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo? Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata Aksanteni
  9. monotheist

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo wa bajaji kwa marejesho nafuu kwa siku

    Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata duka la dawa za asili Kisuna Mwanza mjini?

    Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa. Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri tuone F35 zinazokwenda kulipiza kisasi Yemen zitapita wapi kesho

    Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel. Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia hali ya mabadiliko makubwa yaliyotokana na vita vya Gaza na ukaidi wa Netanyahu aliyekaidi ushauri...
  12. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

    Hey wana jf Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa Kama unajua sehem yeyote Noamba ushare hapo chini ili tuwez kusaidiana
  13. nipo online

    JamiiForums Tanzania Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mwigizaji anayeitwa bwana jumbe aliishiaga wapi?

    Habarini, Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka. Bwana jumbe kiumri ni mtu wa makamo, alikuwa anaigiza kama mwanaume player, kuna scene yake moja alinifurahisha, yani...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hiki kibaiskeli kinapatikana wapi?

    Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei yake ikoje either kiwe used au kipya
  16. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama barabarani mko wapi?

    Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria? Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada isimame hata sehemu zisizo salama na kusababisha foleni ambayo huleta kero kwa watumiaji wengine wa...
  17. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwalimu Mohammed Abduba Dida aliyefungwa kwa kutoa vitisho kwa mtu

    Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)? Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na kutuma vitisho. Dida amekuwa akitumikia kifungo chake katika kituo cha kurekebisha tabia cha Big Muddy...
  18. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Kama mwalimu nisome wapi ili nijiandae na mtiani wa usaili (aptitude test)?

    Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu. Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya Ajira wamekuwa na maswali mengi kuhusu mada zitakazojumuishwa kwenye mtihani wa maandishi (Written...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
  20. EricMan

    JamiiForums Tanzania Hivi akili za huyu dereva zipo wapi?

    Dereva kama huyu mpaka sasa utakuta hajachukuliwa hatua. Uyo wa lori kidogo angemchapa makofi ndio maana akatulia zake hapo hapo.
Back
Top Bottom