wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  2. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tunaelekea wapi?

    JIBU Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa askari na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisiasa...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  4. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu. MTU AKIFA ANAENDA WAPI? Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa! Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kusoma short course za OSHA naanzia wapi ?

    ??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji/Wakazi wa TANGA MJINI nipeni uelekeo wapi naweza nikapata kazi...

    Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matokeo ya uchaguzi - Wapinzani wameshinda wapi?

    Naona kimya kingi. Sijaona hata sehemu moja wapinzani wameshinda. Naomba mwenye matokeo please... Hapo ulipo wewe chama gani kimeshinda?
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha chuo niwe mwalimu wa mazoezi. Wapi nitapata mafunzo ya kuwa professional physical trainer?

    Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa. Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela. Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Unaposikia nyimbo ya nguva viking na papii kocha unakumbuka wapi "seya" ?

    Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi. Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi "ilikua ikifika siku za siku kuuu" Kuna ule mstari. Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

    Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi? Wachezaji hawana teamwork? Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani? Wachezaji wamelewa sifa? Physicality ya wachezaji ni hafifu? Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni? Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao. Pang Fung Mi
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  13. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania DED Emanuel Franci Namaumbo yupo wapi?

    Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda. Mara anakwenda na mafailli nyumban nk. Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko.. Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

    Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
  15. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Hodi Dodoma,chakula Cha kipekee napata wapi maeneo

    Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
  16. Tanzania One 2025

    JamiiForums Tanzania Miaka ni namba tu, je ukweli wa kauli hii uko wapi?

    Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha" Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
  17. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hizi shower kits na bathtubs (picha) zinapatikana wapi?

    Swali kama lilivyo kwenye subject. Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass. Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site. Naweza kuzipata wapi Dar?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel na vyuma vya canopy

    Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
  20. stan john

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
Back
Top Bottom