The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Habari!
Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho.
Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli.
Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa...
Kenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu.
Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu.
Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
Wakuu,
Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?
Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!
Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.
Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu...
Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia.
Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili...
Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona.
Nimeuliza...
Habari wanaJF,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .
"Utanifanya nini?"
Ivi unahisi hana cha kukufanya?
Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini? "
Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya...
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.
Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
baada
bado
dini
hizi
kuliko
masikini
matumizi mabaya ya madaraka
miaka
omba
rasilimali
rasilimali tanzania
shida
tanzania
ufisadi tanzania
uhuru
umasikini tanzania
usomi
waafrica
wakristo
wao
wapi
wasomi
wazungu
Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema.
Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa?
Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
Mzee wa mbwembwe kibao
Mzee wa kuwakera, mara ya mwisho kumskia alikuwa analia na raisi apewe uraia wa Tanzania.
Yuko wapi sikuizi au ndio mpira kushnei?
Hakuna salamu
Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster.
Mbona...
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.