wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata breaching earth kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya alizeti

    Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Johnthebaptist?

    Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo...
  3. Go Bus

    JamiiForums Tanzania Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi

    Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi Jela au Uraiani Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  5. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kitu ya kitimoto na ndizi

    Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅
  7. Mobutu JR

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  8. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

    ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much Bill Lugano aka...
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nyie weekend mnaenjoy wapi?

    Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Hii picha imepigwa wapi na eneo gani la sehemu husika

    Kwenu wajuzi, hii picha imepigwa mkoa gani? Mji gani? Mtaa gani?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la pumba za mahindi na mashudu kama unahitaji

    Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu sogea tufanye Biashara ASAP
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga je wewe unatoa wapi?

    Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari. Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania BRELA wamezifuta Kampuni za LBL, halafu wanaishia kusema Watu wamepigwa. Hela za watu zimepelekwa wapi?

    Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?. Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe vs Msigwa imefikia wapi?

    Kesi ya defarmation ya Mbowe vs Msigwa iliishaje?/imefikia wapi? Mwenye taarifa atujuze Mbowe amgeuzia kibao Msigwa, ataka amlipe fidia bil. 5/- madai kumkashfu By Grace Gurisha , Nipashe Published at 07:46 AM Sep 07 2024
  17. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Habari?Nahitaji raba hizi pichani,mwenye kujua chimbo zinapopatikana anijulishe vinapopatikana.
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi?

    Kama picha inavyoonekana hapa ni eneo gani exactly
  20. Me1986

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

    Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!? Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO.. Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
Back
Top Bottom