wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anapata wapi nguvu ya kuichonganisha Yanga Vs TFF?

    Kitendo cha Manara kuitisha Press Conference na kuizungumzia Yanga kwa Lugha za kushurutisha timu dhidi ya TFF na Rais wa TFF bila kuwepo msemaji wa Yanga Alikamwe, ni kuivunja heshima Yanga. Yanga ni taasisi yenye heshima nchini ikijihusisha na Soka na bidhaa za soka, lakini kitendo...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa Mbweni na capripoint -Mwanza, mmeajiriwa wapi?

    Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah, Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30. Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo naweza download wapi?

    Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali
  5. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  6. R

    JamiiForums Tanzania wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanauza Mic za Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM

    Naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata Microphone hizo Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM. Mimi binafsi nimezunguka Kariakoo na baadhi ya maduka sehemu nyengine kama Makumbusho lakini sikufanikiwa kuzipata hizo microphone. Wauzaji wengi wanasema hawana hizo microphone. Mwenye kujua naomba...
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, Nimwinde Wapi Mpenzi Wangu? Mwisho wa Kutembeza CV Barabarani!

    Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor wa mtaani kutafuta mpenzi! Yaani, kila siku unakutana na dada mmoja barabarani, unajifanya kama...
  9. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

    Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi. Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Cheapest countries to travel to in 2025: Tanzania hatumo, tunakwama wapi?

    Kwa Afrika zipo Rwanda, Ghana, Burkina Faso, Mali na Malawi.
  12. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  13. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB mnakwama wapi?

    Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya uhakiki kuwatumia watoto hela? Mnakwama wapi?
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mwana FA, Gerson Msigwa na viongozi husika watueleze zaidi ya Bilioni 30 za ukarabati uwanja wa Mkapa tangu 2023 ziko wapi?

    Ni maajabu ya karne! Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa. Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Je! Hapa ni wapi

  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

    Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
  17. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza pata auto adrenaline injection pen

    Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie. Katika kufuatilia tatizo langu nlishauriwa ntafute injection pen ntembee nayo hivyo kwa yeyote...
  18. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

    Wakuu Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani? Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
Back
Top Bottom