Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,084
Reaction score
6,015
Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie.
Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
 
Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie.
Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
Wapo wengi..tembelea makaburi ya kishiri..wapo hata ambao ni bikra!
 
Kwa jinsi,, Kwa jinsi kwa nini,, Kwa jinsi,, ninii,, Kwa jinsi,, jinsi gani enhee,,, Kwa jinsi Mungu,,, Mungu nanii,, Mungu,,, nanii,, Mungu,,, Ni mama yako,,, Hapana,,, Ni baba yako,,, Hapana,,, Ni ndugu yako,,, Hapana,,, Ni beste yako,,, Hapana,,, Ni jirani yako,,, Hapana Pastor,,, Ni naniiiii,,, Kwa jinsi Mungu alivyoupenda,,, Ngoja alifanya ninii,,,, Alivyoupenda,,, Aliukataa,,, Hapana,,, Aliutusi,,, Hapana,,, Aliuachilia,,,, Hapana ,,, Aliupaka matee,,, Hapana,,, Aliufanya niniii,, Aliupenda,,, Aliupenda ninii,,, Kwa jinsi Mungu alivyoupenda ulimwengu,,,Aliupenda ninii,,, Ulimwengu,,, Umbwa yako,,, Hapana,,, Ni ng'ombe yako,,, Hapana Mchungaji,,, Ni bibi yako,,, Hapana Pastor,,, Ni mama yako,,, Hapana Padri,, Ni nyanya yako,,, Hapana ,,,, Ni naniiiiii?
 
Nenda igoma panaitwa maramara pale karibu na kwake daudi bashite..pia nenda pale SHAMALIWA SM bila kusahau nyamadoke na nyamhongolo..nenda ndama hotel ama pale ITALIAN PUB

Nenda Igoma sio mbali kutokea Kishiri
Ingia bar inaitwa city center au Makumbusho
Mida kuanzia saa 2 utapona huo ugonjwa wako wa nyege unaokusumbua
🤣🤣🤣🤣 Sawa mkuu
 
1. CITY CENTRE IGOMA, IGUNANILO IGOMA, MAKUMBUSHO IGOMA, DELUX MJINI KATI, NYEGEZI. ROCK CITY GHANA, THE DREAM, DIAMOND, LAS VEGAS KONA YA BWIRU, A TO C, VILLAR PARK KIRUMBA. SHETEMBA MECO, BUNDESLGA NYASAKA.
2. KUWA NA 100K+, USAFIRI WAKO AU TEGEMEA BAJAJI(DALA DALA HUKU MWISHO NI SAA NNE, USIWAAMINI BODA BODA WA PIKI PIKI)
3. NENDA KUANZIA SAA TATU USIKU.
4. TUMIA KONDOM, TUMIA KONDOM, TUMIA KONDOM(zingatia neno kondom) maana kiwango ulichofikia huwezi kuzuiliwa ngono.
5. usiende na hela zote field ukaja tena kuomba ushauri humu.
6. HAKIKISHA UNAVAA KONDOMU(VAA MWENYEWE)
7. UKIENDA GUEST KABIDH VITU VYOTE KAUNTA.
8. ENEO LA CHIPS NI MECO
9. LAKINI TAIFA LINAHITAJI KODI YAKO.
 
Back
Top Bottom