wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yu wapi Naibu Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Biteko?

    Kwa ukimya huu ndio naamini Cheo ni koti la kuazima tena kwa Muha .. Cc Bashungwa
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
  4. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  5. JamiiForums Tanzania Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

    Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha! Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy. Location: DSM
  6. JamiiForums Tanzania Serikali baada ya kukusanya kodi hatuambiwi zinaenda wapi

    Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
  7. JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  8. JamiiForums Tanzania Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

    Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  10. JamiiForums Tanzania Leo tunatoka kwenda wapi?!

    Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu! Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni uhujumu uchumi.
  11. JamiiForums Tanzania Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

    Makamanda Shimboni! Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa? Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa. Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

    Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume. Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati. Vijana wale...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kanda Maalum ya Dar ikifa leo itaenda wapi

    Dhambi zoooote zinatendwa na kanda hii. Je ikifa leo itaenda wapi, mbinguni au jehanamu?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna member humu kawa adimu! Yu wapi?

    Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza! mambo ya elimu ya faraqi
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli maandamano yalianzia kwa Mpina kisesa, na kwa Gwajima Ubungo? Je wako wapi?

    Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha! Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina? Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
  17. JamiiForums Tanzania Shilole: Watanzania wasitununuie wasanii, tutakula wapi? wachukulie imepita

    Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

    Nchi ya maajabu.Leo nimewaza kuhusu wabunge wanavyojipia mapesa tu.
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

    Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Uko wapi choice variable?

    Najua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani. Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla, sio kama roboti matope Tlaahtlaah. Lakini tuje na kauli moja kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…