Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,521
Reaction score
17,488
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!

Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy.

Location: DSM
 
Kwakuwalabua chawa na mafisadi ya taifa hili!
 
Naukaribisha na bapa mbili then nauchapa usingizi hapohapo, wakinipekua siyo mbaya maana sitaweka hata mia mbovu ya ziada mfukoni, najua nitaamka kesho mchana nichangamkie fursa ya pilau mtaa kwa mtaa.
 
Back
Top Bottom