Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

BiancaEA

Member
Joined
Nov 23, 2025
Posts
41
Reaction score
80
Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky.

Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka Bungeni Kenya.

Mashiriki ya kutetea haki za binadamu, wanafamilia na baadhi ya wanasiasa nchini Kenya akiwemo Babu Owino walishinikiza hatua zichukuliwe ili waweze kupatiwa mwili na kwenda kuuzika kwa heshima lakini imekuwa kimya.

Haijulikani kama walipewa mwili au bado wanangojea.
 
Huyo alijifanys mwalimu akaja kuchoma nchi yetu,hakuna kutoa mwili.
 
Back
Top Bottom