wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Padiri katekwa "novena" iko wapi?

    Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk. Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Updates za Msanii zimeishia wapi?

    Baada ya yule aliyejitambulisha kama ‘kapteni’ wa JWTZ kuja na ile video yake, kuna watu humu walikuwa na kila aina za taarifa. Mmoja kati hao watu alikuwa ni mwanaJF mkongwe kwa jina la Msanii. Mwenzetu huyu alileta hapa hizi mada mbili...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

    Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele. Kipindi cha...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafuata baada ya Balozi Humphrey Polepole?

    Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake. Hawapaswi kabisa kuwa nchini...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Josephat Gwajima?

    Kimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake. Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri na bila shaka hayupo Tanzania. Kwa Gwajima tunayemjua mtu asiyekubali kushindwa kiwepesi wepesi kwa...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliosema hawatasimama, maovu yakitawala?

    Ukute waliosema hawatasimama maovu yakitawala wameshanunua sofa kitambo wamekaa kabisa, na hawana habari! Au yawezekana haya ya sasa bado sio maovu, kuna makubwa zaidi ya haya?
  7. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia yupo wapi?

    Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilionya juu ya Utoto anaofanya ambao ungekuja Kumgharimu nikatukanwa na kutoeleweka kiko wapi sasa?

    Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba HAKUNA wa KUNIFANYA lolote. Ni System ya Kipumbavu pekee duniani ndiyo itanyamaza pale hali ya Usalama...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao.. Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Watu wengi kwa kuwa wamezaliwa wamekuta lami zipo, shule zipo hawajui taifa limetoka wapi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hawa kanga weupe, kijivu nk walitoka wapi?

    Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia. Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi? Mfano sungura Mimi katika maisha yangu...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  13. Kahama- shy

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mikopo ya mitandaoni

    Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu! Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema nitapata wapi mikopo ya mitandaoni maana huko kote nimechukua app zao zote na kujisajiri lakini kote...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Primi Mushi a.k.a Kuringe mvamizi wa viwanja

    Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk. Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mstaafu kikwete?

    Huyu baba sio kawaida yake. Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara. Yuko wapi huyu baba?
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zile dola milioni 30 zilizokutwa nyumbani kwa Magufuli ziliishia wapi?

    Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, simu za viganjani zenye kila aina ya uwezo, zenye kuweza kupiga picha, kurekodi video, na kadhalika, ni vigumu sana kwa baadhi ya mambo kuendelea kuwa siri. Tuliambiwa kwamba, baada ya Rais Magufuli kufariki, kwamba nyumbani kwake zilikutwa dola za...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hivi mabilioni yote tuliyokopa yameenda wapi?

    Kwa mabilioni yaliyokopwa na taifa kupitia CCM, tulipaswa kuona maendeleo ya dhahiri: barabara za kisasa, reli imara, hospitali zenye vifaa vya kisasa, elimu inclusive bila kero, na ajira sustainable kwa vijana. Hizo fedha zingeweza kubadilisha kabisa standard of living ya mwananchi wa kawaida...
  18. battle2

    JamiiForums Tanzania Tatizo lipo wapi?

    Huenda linaanzia hapa, Wenye mamlaka hawajui kama wana-mamlaka wanabaki kulalama, Wangetumia mamlaka yao wasingelalama. Waliopewa mamlaka wanahisi wao ndiyo wenye mamlaka, Na kutokana na ufahamu wao wanapambana kuwaaminisha wenye mamlaka kwamba wao ndiyo wenye maamlaka. Kinachofuata ni...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  20. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Hujawahi kukutana na hii screen halafu unataka kuniscam, unaanzia wapi kwamfano?

    Busara zinaendana na enzi... Nyani mzee amekwepa mishale mingi Tujuane wazee waptrick.com, site gani ingine ulikuwa inaitembelea kupitia opera mini?
Back
Top Bottom