Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,367
Nchi ya maajabu.Leo nimewaza kuhusu wabunge wanavyojipia mapesa tu.
images (10).jpeg
 
Acha iwe kimbu kumbukumbu kwa watoto wetu kuonyesha ujunga wetu na vingozi wetu !
 
Ile ilikuwa ni prototype, isipokuwa wanasiasa akili ndogo kama kawaida yao wakaifanya ni ajenda ya kitaifa kuonesha kuwa serikali inapromote maendeleo ya sayansi na teknolojia na kuanza kupigia promo ishu za AI...
 
Back
Top Bottom