Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
26,996
78,031
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.

Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?

Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.

Mwaka 2025 utatutibu maumivu:

Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar
Thunderbolt
Jurassic Park
Superman
Captain America
The Fantasic Four
How to Train Your Dragon
Snow White
Michael
Constantine 2
Zootopia 2
The SpongeBob movie
The Minecraft Movie

Oya list ndefu sanaaa
 
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.

Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?

Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.

Mwaka 2025 utatutibu maumivu:

Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar
Thunderbolt
Jurassic Park
Superman
Captain America
The Fantasic Four
How to Train Your Dragon
Snow White
Michael
Constantine 2
Zootopia 2
The SpongeBob movie
The Minecraft Movie

Oya list ndefu sanaaa
Screenshot_20241228_012753_Netflix.jpg
Hapo vp? Hii pia utasema sio kali?
 
Halafu sasa nikushauri kitu;

Zile movie fantastical za mauongo mengi zenye budget kubwa kama avatar ndo zinatangazwa sana, usizipuuzie ila,

Tafuta movie ndogo ndogo zinazosifiwa mitandaoni na kwenye rating sites, zipo nyingi sana
Umeongea kweli. Marvel DC wakitoa movie wataisifia yaani hype yake sio ndogo.

Nakumbuka Avengers End Game watu walipanga foreni pale nje Mlimani City hadi noma. Weekend za mwanzo ukienda kukata ticket unakosa ya leo hadi kesho yake.
 
Ila Movie za siku hizi nyingi ni prequel, sequel na remake, na adaption kutoka kwenye vitabu, na chache mno ndo unakuta nib original script
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom