wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  3. JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wazazi wote wanaopambana kulea watoto wao wenyewe kwa namna yoyote ile

    Wakuu dunia imefikia pabaya. Watu wamekuwa na roho za kikatili zisizoelezeka. Wahanga wa matukio ya kikatili ni watu dhaifu na mafukara ambao hushindwa kupata haki kwa sababu haki zao huporwa na wenye hela waliowafanyia ukatili. Hizi nyakati sio za kuacha mwanao akakae na kulelewa kwa bibi...
  4. JamiiForums Tanzania Rwanda tunayoichukia na Rais Kagame tunayemchukia wanatuonyesha Upendo wao Kwetu kwa Vitendo

    Taarifa...... 1. Rwanda kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam 2. Rwanda kujenga Kiwanda kikubwa cha Maziwa Mwanza Tanzania Ukiona Adui/ Mtu ambaye kwa Wivu na Upumbavu wako Unamchukia halafu Yeye anakujibu kwa kukuonyesha Upendo wa Ajira kwa Watu wako na kukuimarishia Uchumi wako jua si...
  5. JamiiForums Tanzania Mamelodi Sundowns Wanapaswa Kuthibitisha Ubora wao Dhidi ya Yanga SC

    Pamekuwa na kelele kibao na lukuki kuhusu Ubora na Ukubwa wa Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini. Hata hivyo dhana hiyo imejengeka mno machoni pa watu kwa sababu ya Ufanisi wao wa kucheza pasi nyingi zisizo na msingi katika dakika 90 za mpira. Sasa wamepata fursa nyadidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Al Qaeda mlengo wa Yemen wapoteza mkuu wao

    Al Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) announced the death of its leader, Khalid bin Umar Batarfi, in a statement on Sunday, the Site Intelligence Group said. AQAP did not give a reason for his death, according to Site. It named Sa'd bin 'Atef al-Awlaki as his successor, Site added.
  7. JamiiForums Tanzania Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

    Habari za mchana na habari za jioni! Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida. Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡. Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  10. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

    Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote. Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
  11. JamiiForums Tanzania Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

    #MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika. Hersi...
  13. JamiiForums Tanzania Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya Luis Josee Miquissone na Emmanuel Anold Okwi kwenye ubora wao unaenda nani?

    Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
  15. JamiiForums Tanzania Kama wote tunashangaa, nani wa kuokoa jahazi?

    Nini mtazamo wako kuhusu hali hii Mdau?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  19. JamiiForums Tanzania Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

    Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado. Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe. Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale...
  20. JamiiForums Tanzania DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…