wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UDENYE

    Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  2. Mad Max

    Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  3. Carlos The Jackal

    Mama Janeth Magufuli: Makonda Usisahau kuwatetea Wanyonge

    Mama anafaham Nchi Ina Wanyonge, anafaham Kwa Sasa Taifa Limekoswa Vijana wa kuwasimamia Wanyonge, Mama Mpendwa, Mama makini, alojaa Upendo na Uwazi, anamtumia Makonda, Kawatetee Wanyonge. Kwanini Makonda nasio Makamba au Nape?. "Usisahau kuwatetea Wanyonge"...
  4. Kasiano Muyenzi

    Dunia hii sio ya wanyonge

    Katika msitu , watu dhaifu huawa huko ili wasipitishe udhaifu. Kwa njia nyingi, jamii ya wanadamu ni msitu. Kuna nguvu mbaya dhidi yako. Lakini kile ambacho hakikuui kinakufanya uwe na nguvu zaidi. Ulipewa maisha haya kwa sababu una nguvu za kuishi. Kwa nini sasa uwe mnyonge? Zingatia kuwa...
  5. Idugunde

    Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  6. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili...
  7. Nyankurungu2020

    Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

    Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa. Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia...
  8. Nyankurungu2020

    Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  9. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  10. Allen Kilewella

    CCM inaongozwa na watu maskini, wanyonge?

    Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge. Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
  11. Nyankurungu2020

    Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  12. DR Mambo Jambo

    Waraka wa Kwanza wa Ukoo wa "WANYONGE" Walioko Tanzania

    1 kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Wa Tanzania.Nipo na Christopher Kweka tunawasalimu. 2 Imekuwa ni siku Nyingi sana Tangu kuonana na nyinyi ukoo wangu nikaona si vyema kwakuwa kuna malalamiko nimesikia kati yenu mkizozana kuhusu elimu ya yule na kisomo cha Huyu,Mara...
  13. B

    Hongera sana Rais Samia kwa kuwajali wanyonge

    Asalam Aleykum. Leo katika pita pita yangu kwenye taarifa mbalimbali, nimevutiwa sana kumwona Mh. Rais Samia akiwa sokoni, huku akinunua baadhi ya bidhaa na kuahidi kuwapa mitaji baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo. Binafsi nimejisikia faraja na namwombea aendelee kuwajali wananchi wa hali...
  14. Crocodiletooth

    Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  15. M

    Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
  16. Baba Rhobi

    SpeedAf, Mkombozi kwa wanyonge

    Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana. Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama sijakosea, kwa uzoefu niliokua nao zamani ulikua ukitumia njia hii kwa usafiri, jiandae kusubiri...
  17. B

    Ridhiwan Kikwete: Hatutokuwa na huruma na wanaowaonea wanyonge

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze ameanza ziara ya Mkoa wa Mara kwa kutembelea na kuongea na Watumishi wa Manispaa ya Musoma na kisha kufanya ziara kukagua utekelezaji wa mpango wa kuondoa Umaskini...
  18. G

    Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

    Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo. 1. Nakumbuka...
  19. Doctor Mama Amon

    Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Wageni: Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe!

    I. UTANGULIZI Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo: "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
  20. Mwizukulu mgikuru

    Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
Back
Top Bottom