Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka pembezoni mwa Barabara na wahamie katika Soko la Dodoma.
Maskini baba aliwambia kufanya biashara...
" Nawasalimu kwa Jina la CAG " ambapo Wanyonge wenzangu nanyi mtaitikia kwa kusema ' Tumepigwa Sana ' sawa?
Kuitwa Mnyonge kwa Tanzania yetu hii Kutukanwa na Kufanywa huna Akili hivyo tusiitane tena tafadhali.
Ni nchi gani barani Afrika kwa Mila zake kama Mtu akiwakosea Mamilioni akifa tu...
Watanzania ni wanyonge kwa sababu ya unafiki wa wabunge wetu. Bunge letu ndiyo chanzo cha unyonge wetu. Tuna wabunge vigeugeu sana katika Taaifa hili.
Kwenye elimu ya juu walishiriki kupitisha sheria kandamizi iliyosukuma mabadikiko ya makato lakini leo wamesahau wanapiga makofi kwenye ripoti...
Ninaomba tafsiri ya wanyonge kwa nchi hii tafadhali?
Maana ninapata shida kusikia Boda Boda ni mnyonge, na nina ushahidi hawa vijana wa Boda Boda, wanaingiza kipato zaidi ya shilingi laki sita kwa mwezi. Mfanyakazi mwenye mshahara wa laki tatu hadi laki tano, mkataba wake unaisha, ananyimwa...
Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi.
Nimereview...
1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?
2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?
3. Ni saa ngapi...
Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni 'masikini sana', au 'watu wadhaifu katika jamii'. Kwa Kiingereza ni 'disadvantaged', 'abject poor', au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.