Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete.
Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka chini ya jua kama kinyonge. Ni uamuzi wenu kuendelea kuwa mnyonge au kujiongeza kudai Haki Yako...
Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa.
Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku.
Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ?
Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza kumtimua mtu .
Nimefuatilia masuala kadhaa, yanakipeleka kuwaza mustakabari wa Wananchi wanyonge na vizazi vyao uko namna gani.
1. Kisa cha Mfanyakazi wa Wizara ya Afya aliyekamatwa na polisi kule mpwapwa akanyang'anywa fedha zake, akateswa, akatishiwa, akaandikiwa karatasi na kulazimika kuisaini bila...
"Pls ninaomba huu uzi wangu usifutwe au kuunganisha, manake siku hizi JF hamnipendi nyuzi zangu nyingi mnazifreeze! WHY?"
Mwaka huu Benki zimeambiwa zipunguze riba kwa kuwaneemesha wakulima (Rais Mama Samia alienena haya akijisahaulisha kabisa kuhusu watumishi wa umma ambao ndiyo wakopaji...
Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo.
Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
baada
dar
dar es salaam
habari
jiji
jkt
kutolewa
machinga
matukio
mmoja
muonekano
ndani
ondoa
picha
safi
suma jkt
usiku
vibanda
wamachinga
wanyonge
wapi
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?
Ukiachana na misaada:
Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge
Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge
Mbuga za...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
Na Elivius Athanas.
Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.
Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
Barabara ya Zakhiem Mbagala Rangitatu ina vibanda vingi vya wamachinga kando ya kuta za viwanda, wamachinga hawa wanalindwa na mamlaka kwa hali na mali kwa sababu ndio wapiga kura wetu.
Wapigakura hawa wenye vibanda nyakati za usiku hugeuka nguchiro na kuanza kutoboa kuta za viwanda kwa ajili...
Hello Bandugu.
Baada ya msanii Nay the true boy kuja na wimbo wake, kugusa baadhi ya Mambo ambayo yanakera wananchi sana hususan 'WANYONGE' je ni sahihi kwa jina hili la 'Tozonia'?
Nilishawahi kusema nchi hii ni tajiri namaanisha Tanzania ni tajiri sana, hata mwenda zake ilikuwa ni kauli yake...
Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini.
Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
Tunapokuwa na Taifa ambalo viongozi na watu wenye uwezo wanapewa kipaombele kwenye kila kitu tunakuza gap la usawa baina ya wananchi. Tumeleta dozi milioni moja kwa ajili ya watawala na wanasiasa wengi wakiwa ni wale waliopo madarakani na wastaafu kwa kisingizio kwamba wapo kwenye risk.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.