wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani! Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

    Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake. Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanamichezo wangu Bora 22 ndani ya Tanzania kwa Karne ya 21

    Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki kupewa muda. Pia Kuna mengi mazuri ya kujivunia ndani ya miaka hii 22 ya Karne ya 21. Wafuatao ni...
  4. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundua penzi la mpenzi wangu kwangu limeshakufa

    Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu. Kuna time naamua kulianzisha lile...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!! Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kunifanya nimuache huyu mwanamke wangu

    Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi. Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8. Sasa nataka...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  10. JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

    Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani unaweza kurudi home unakuta kakaa na mavyombo machafu hana habari. Vitu viko hovyo, kupangilia kila kitu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji. Sasa napenda kujua madhara yake. =====
  13. JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  14. JamiiForums Tanzania Nimemtimua Nabii aliyekuja kumtembelea Mke wangu

    Mughonile! Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali. Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo...
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

    Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae. Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu. Mwisho kabisa mke wa mtu ni SUMU ingekuwa ndio zama za sasa ningekuwa nimefukiwa ardhini. Nasisitiza tuwe makini...
  16. JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu ametokwa na mapele kuzunguka titi

    Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
  17. JamiiForums Tanzania DIAMOND: Nimekutana na Ex wangu kapauka mbwa yule (remix inakuja)

    Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi. Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz naye ni moja ya waliouelewa wimbo huo na anataka kuufanyia Remix. “Sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, huu wimbo umepangiliwa vizuri

    Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…