Kuna aliyemuelewa vyema hapa Mchambuzi Oscar Oscar wa E FM na Tv E?


Atakuwa kitenge nini??
Duh! Huyo mwamba huwa namsikia tu na kumuona kupitia luninga. Tate Mkuu ni kajamaa ka kawaida sana kutokea Usambaani Tanga.

Sema tu kalishawahi kusomea kozi za awali za mpira wa miguu kutoka kwa Charles Mkwasa na pia Michael Bundala miaka hiyo! Kana akili nyingi sana za kuzaliwa, kuliko zile za darasani!

Lakini pia kameshacheza mpira kwenye ligi za chini na pia ligi ya ndondo, enzi kakiwa kanasoma! Nje ya hapo, hakana mafungamano yoyote yale na Mwandishi Nguli wa Michezo na Mwananchi mwenzangu kindakindaki Maulid Kitenge.
 
Kaandika hivi: Muongoza Ligi yuko Mbeya na Mbeba Ubingwa yuko Dar es Salaam.

Kazi Kwenu.

IMG-20211201-WA0006.jpg


oscaroscarjr~p~CW6POVQqT79~1.jpg


oscaroscarjr~p~CW7ZcNzqWBn~1.jpg


oscaroscarjr~p~CW7iAmQK_gP~1.jpg
 
Bingwa wa msimu huu ni Yanga! Iwe isiwe. Na tarehe 11 Disemba, kipigo kwa Mtani kiko pale pale. Hakuna namna.
kuongoza ligi kawaida yenu. Mwishoni wenye kombe lao Simba wanalichukua BILA kelele.

Mkifanikiwa kuifunga Simba tarehe 11Dec nawashauri msherehekee, sababu ndiyo mwisho wa party.

Tutachukua Hilo kombe hadi Samia atakapoondoka madarakani.

Mungu mwenyewe hawezi kuhangaika na mazuzu wahuni km Yanga.
 
Huyu ni kigeugeu hana lolote mbwa huyu zaidi ya kuwa mchekeshaji tu sio mchambuzi sana..
 
Unachotakiwa kujua page ya instagram ya oscaroscar sio ya uchambuzi wa mpira,jamaa ni memelord
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom