wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana. Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu ni huu ktk hili...

    Ktk tembea zangu mikoa tofauti hapa nchini nimegundua watu wanaoishi kwenye mikoa yenye joto sana hawaridhishani kimapenzi kwakuwa hawawezi wengi wao hawawezi kupiga show ipasavyo hata bao4 kwakuwa joto kali.Halafu jingine wanaume nashauri wanaume tuwatendee haki wanawake nao wafike kileleni...
  3. JamiiForums Tanzania Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  4. JamiiForums Tanzania Muonekano wangu ndio tatizo

    Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

    Nisikuchoshe, Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi. Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule. Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

    Heri ya Pasaka! Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Kissinger: Mwalimu Wangu wa Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na pale pale mwalimu wangu...
  9. JamiiForums Tanzania Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Stephen Chelu - Therapy: Sikiliza Wimbo Wangu Huu Kisha Utoe Maoni Yako

    Baada ya moonlight serenade 👇👇👇 Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado...
  11. JamiiForums Tanzania Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

    Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama mfano Bora wa Jamii.
  12. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wanandoa na wenye mamlaka!

    بسم الله الرحمن الرحيم. Mimi ni mwalim wa dini na imam katika msikiti ulipo eneo ninalo ishi... Kwa nafasi yangu huwa napokea kesi na migogoro mbalimbali kusuluhisha na kushauri. Nina wito huu kwa wanandoa wa dini zote na mamlaka zote zinahusika na masuala ya ndoa na muunganiko wa kijamii...
  13. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
  14. JamiiForums Tanzania Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  16. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  17. JamiiForums Tanzania Naweza msaidiaje huyu Mdogo wangu wa kike?

    Habari ya uzima, Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili. Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni...
  18. JamiiForums Tanzania Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  19. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

    Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke. Sasa tangu juzi, amekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…