Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

......ingawa wote shughuli zao zinafanana kiasi fulani, ila mmoja ni daktari wa kisayansi na mwingine ni mganga wa kienyeji!!.....of koz tukiacha utani, ni kweli hawa Jamaa wanajitambua, wako na exposure, wameelimika lakini pia wana potential kwenye jamii......I appreciate too, respect to them......
 
Mshana Jr ndugu yangu umeshajijengea credibility kubwa hapa jf hivyo kua makini sana na posts zako maana zinaweka kukushushia credibility kabisa, hili pia nilikuambia ile siku mlipopishana kauli na bibi wa jf
 
Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF

Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama mfano Bora wa Jamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom