Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye alichukuliwa mikononi mwake na Mzazi mwenzake aitwaye Anthony Regani Njau (30) tangu mwaka 2021.
Mtoto huyo amepewa Mama mmoja ambaye amemuasili (adopt) na kumgeuza Mtoto wake huku Mama mzazi akidanganywa kuwa Mtoto yupo masomoni Marekani wakati yupo hapahapa Dar es salaam.
Mtoto huyo amepewa Mama mmoja ambaye amemuasili (adopt) na kumgeuza Mtoto wake huku Mama mzazi akidanganywa kuwa Mtoto yupo masomoni Marekani wakati yupo hapahapa Dar es salaam.