wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania na Ireland Kushirikiana Katika Michezo (Soka la Wanawake na Uchoraji)

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - TANZANIA NA IRELAND KUSHIRIKIANA KATIKA SOKA LA WANAWAKE NA UCHORAJI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa Ireland hapa nchini Mhe. Mary O' Neill na kukukubaliana kushirikiana katika Sekta ya michezo hususan soka la...
  2. Kwanini Rais Samia hateui Wanawake wengi na kuwapa nafasi?

    Rais Mwanamke wa kwanza Tanzania lakini cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika...
  3. S

    Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

    Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona. Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana...
  4. Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  5. R

    Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  6. Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  7. Wanaume wengi sasa wanatumia mahusiano as a cover for free sex

    Wanaume wengi sasa wanatumia mahusiano as a cover for free sex and babe to do house chores. KE nao wanatumia relationship as poverty alleviation scheme, wanaumiza vichwa,kuroga, kuganda etc ili wapate wanaume wenye pesa ama unafuu wa Maisha. Katika mzunguko huu mnakutana watu wawili wenye...
  8. Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

    Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja. Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu. Siku moja...
  9. R

    Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
  10. F

    Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

    Habari wadau. Dini ya kiislam ina mengi mazuri. Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu. Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu wa kidini. Shida hizi taratibu zinachukuliwa vibaya na wanaume wa ki africa. Tazama hii video ya...
  11. Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Kwema Wakuu! Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba). Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya...
  12. Hizo Nguvu mnazotumia kupiga Punyeto mngezitumia kwa wanawake wenu hakika wasinge-cheat

    Sitakuwa na muda wa salamu kwa majitu ambayo kutwa kucha yanapiga punyeto,shame on you!. Hivi unawezaje kuwa na mwanamke kitandani usiku kucha unaishia kumkung'uta kabao kamoja au viwili tena kwa taabu? Yaani dume zima unakuta ile saa 3 usiku linaparamia mwanamke utadhani kuna ugomvi kisha...
  13. Utafiti Binafsi: 85% ya Wanawake ( hasa Masista Duu ) wa Dar wanalala Sakafuni Walikopanga na hawana kabisa Vitanda

    Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga? Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa? Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea...
  14. Waziri Gwajima: Wajasiriamali wanawake na vijana changamkieni fursa za IMBEJU

    Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
  15. Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa? Hivi nyie wanawake mbona hamna...
  16. Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta

    MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
  17. Kampeni ya kutowahonga wanawake inawanufaisha wanawake wenye vipato na kuwaumiza walalahoi na fukara

    Jumapili iko Pouwa bila Shaka! Kampeni inayoendelea Kwa Vijana isemayo "linda kibunda chako" inaratibiwa Kwa kificho na Wanawake wenye vipato au wenye kazi za kuajiriwa. Wakati nipo chuo nilibahatika kukutana na Wanawake wenye uwezo WA kiuchumi na wenye kazi zenye Mishahara mizuri. Mara Kwa...
  18. Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  19. Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  20. Wanawake aisee, dah!!!

    80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao. Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2. Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao. Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…