wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  2. Ukweli Mchungu kuhusu wanawake wanaouza ‘Busta’ barabarani

    Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko. Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta. Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
  3. Haya ndiyo mambo ambayo wanawake huzungumza wanapokuwa pamoja

    Hivi umewahi jiuliza kuwa ni mambo gani ambayo wanawake huzungumzia pale tu wanapotengeneza vikundi kwa ajili ya kupiga soga? Iwe ni katika mazingira ya kazi, mazingira ya nyumbani hasa hasa majirani kwenye nyumba za kupanga, vyuoni n.k Hawa viumbe hawana cha maana wanachokizungumza hapo...
  4. Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa. Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa. Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai...
  5. Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  6. Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

    Habari zenu, Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru! NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
  7. Wanawake msijisafishe Sehemu za siri mara kwa mara

    Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa...
  8. Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
  9. Wanawake walio ungua mkorogo (cream) uwa hawalipi madeni.

    Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
  10. S

    Miji yenye Uwiano wa Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume

    In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World. As of 2023, there are 8 billion people in the...
  11. Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
  12. Wanawake ni watu wa vitendo

    Vijana mnaofosi mapenzi kuna ujumbe wenu hapa, kiukweli kuna la kujifunza.
  13. Kwanini Wanaume Wakichiti hujulikana upesi na Wanawake zao, ila Wanawake Wakichiti kamwe Wanaume hawagundui?

    Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume. Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda...
  14. Kwanini wanawake wengi huwaona waume/wanaume zao kama hawana akili au wana akili za kitoto?

    Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano. Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto. Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za...
  15. Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  16. Hivi kwanini wanawake huwa hamueleweki kuwa mnataka nini?

    Wanawake huwa mnatuchanganya sana unakuta asubuhi mtu anapost “Yani huyu mwanaume ananijulia, nimeamka kashapika eti ehhh”. Mchana “Nani anitoe lunch leo?”. Usiku “Ni muda sasa nipo singo sababu wanaume ni mbwa”. Andikeni script freshi, tunafuatilia story.
  17. Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  18. S

    Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi. Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:- 1. Salama Jabri. 2. Fatuma Karume. 3. Maria Sarungi. 4. Kajala. 5. Dinar Marios. 6...
  19. Mnada wa kuuza wake utawala wa Victorian nchini Uingereza

    Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
  20. Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

    Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno. Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…