wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

    Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.
  2. Stephano Mgendanyi

    Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  3. BARD AI

    Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
  4. Unique Flower

    Hivi wanawake shida ni nini lakini?

    Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini. Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi. Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni...
  5. GENTAMYCINE

    Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa Wanawake Kuuawa Kikatili na Waume / Wapenzi wao

    Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize. Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha...
  6. Mjanja M1

    Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

    Kwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi. Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha. Shida ni nini?
  7. The dumb Professor

    Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
  8. MKATA KIU

    Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  9. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  10. Shining Light

    Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  11. Unique Flower

    Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

    Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima . Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko. Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida...
  12. Z

    Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
  13. Mjanja M1

    Wanawake kama hawa wanapatikana wapi?

    Ni ndoto ya kila Mwanaume kuwa na Mke kama huyu. Wanapatikana wapi wanawake kama hawa?
  14. Melki Wamatukio

    Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  15. Dr Lizzy

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!! Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu. Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo...
  16. Cheology

    Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  17. Cecil J

    Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  18. Lady Whistledown

    AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  19. tpaul

    Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  20. BARD AI

    Ukweli Mchungu kuhusu wanawake wanaouza ‘Busta’ barabarani

    Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko. Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta. Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
Back
Top Bottom