wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani walileta utaratibu wa kutahiri wanaume na kuketa wanawake Africa?

    Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama...
  2. Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

    Baada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO...
  3. Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

    AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
  4. Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  5. SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  6. N

    Miaka 15 hivi iliyopita jamaa yangu alioa mwanamke ambaye walikuwa wamekutana miezi kama 3 tu iliyopita

    Miaka 15 hivi iliyopita jamaa yangu wa karibu aliamua kuoa demu ambaye walikuwa wamekutana miezi kama 3 tu iliyopita. Ndani ya kipindi hicho cha miezi mitatu ya kudeti, jamaa akagundua kuwa huyo mke mtarajiwa ana mawasiliano na wanaume wengine wawili. Alipohoji demu akamwambia ni maex wake bado...
  7. Q

    Angalieni wanawake mnaowaoa je ame sha move on on huyu ukimuo unategemea nini?

    Yangu ni hayo akili kichwani mwako
  8. Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

    Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno Wodi imejaa wajawazito na vichanga Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake...
  9. Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake, Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys) Ni tabia ya kipumbavu...
  10. MADA: Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake Mtazamo wa Jamii Yetu

    Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake – Mtazamo wa Jamii Yetu Wakuu, natumai wote mpo salama. Leo naomba tujadili jambo ambalo linaonekana dogo lakini linagusa maadili, utamaduni na mitazamo ya kisasa uvaaji wa vikuku miguuni kwa wanawake, hasa wanapoviacha vionekane hadharani. Katika baadhi...
  11. Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  12. Z

    Je wajua kuwa wanawake wote si sawa?

    Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
  13. Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini? Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr? Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu. Mwanaume anachoka na style moja. Huwa tu hawana...
  14. Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

    Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya. Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja. Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo. Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali. Haw hapa. aung san suu...
  15. Wanawake Wana roho ngumu mno

    Nimebadilisha dini ili nimuoe Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha. Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa... Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote. Nimejaribu...
  16. Wanawake wenye akili muwafundishe wanawake wenzenu wenye tabia hii.

    tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
  17. Experience toka kwa watu waliooa wanawake waliolelewa na mzazi mmoja

    Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
  18. Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  19. PreGE2025 Zitto: Tuwalinde Wanawake kwenye Siasa

    Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye pia ni mtia nia ya Ubunge kupitia ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025, ametuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…