Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.

Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja.

Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo.

Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali.

Haw hapa.

aung san suu kyi
IMG_1387.jpeg

sheikh hasina
IMG_1388.jpeg
 
View attachment 3339522

sheikh hasina
View attachment 3339523
Mmh kweli duh
 
Kuweka wawili tuu ndio umehitimisha wanawake woote ulimwenguni wako kama hawa kweli? Mbona mama nyani mtoto huko kijijini anaupendo usiokifani na watu wake?
Mleta uzi jenga hoja yako penginepo utaeleweka ila nawakingiakifua mamazangu woote wenye upendo na watu wengine.
 
Tatizo watu hawazingatii mafunzo ya kiimani yanayoelekeza mipaka ya mwanamke. Kumpa mwanamke uongozi na mamlaka ya kiume ni sawa na kumpa mtoto wa miaka 4 pistol yenye risasi akachezee na wenzake mchezo wa kipolisipolisi.

Ni swala la muda tu, utasikia Paaaaah Paaaah. Kisha vilio
 
Hilo halipaswi kukupa shida. Mwanamke na mwanake wakifanana tabia ni jambo jema kabisa. Wala lisikufikirishe. Ila mwanamke na mwanamme wakifanana kitabia hapo ndiyo tunaanza kuona shida

Back
Top Bottom