Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama...