chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,150
- 2,354
Wakuu hii imekaaje, nipo nyumbani kwa muda na mama mzazi amesafiri kwenda Dar kuwaona ndugu zangu wengine. Mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani na naona inakuwa too much. Naona kama hamheshimu bi mkubwa.