wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaweza ku survive wakati sisi tumewazidi kiuchumi

    Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa 10000 kwa siku ila ana survive kinyama kuliko wewe anakuwa na vitu vingi, perfume, mazagazaga kibao...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

    Habari zenu waungwana! Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28. Tulianza rasmi Safari ya mapenzi ambapo kufikia mwaka 2020 mwezi December nilifanikiwa kupeleka barua ya uchumba na baadaye kidogo nikatoa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

    Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo. 1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kadri wanawake wanavyosimama kudai haki sawa, ndivyo wanaume wanavyozidi kuacha kutekeleza majukumu yao

    Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena. Zamani wanaume walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake turogeni tupate hela

    Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu kiongezeke hapo sasa nidange ila kwa staha sasa sio unakomba hadi mfupa! Hata chemchem huchimbwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

    Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya Wanawake kucheza mpira na kuwa 'Tomboy'?

    Nawasalimu wakubwa habari zenu, Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy. Yaani utakuta mpaka bange anavuta; wanajiweka kiume kabisa hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa tomboy na kucheza mpira[emoji23] na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaharibika mikononi mwangu

    Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe. Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

    Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

    Hakika waswahili hawakukosea waliposema mmzaniaye ndiye kumbe siye, maisha yangu yote sikuwahi kudhani au kuwaza kuwa mwanamke anaweza kusimamia vitu vikaenda sawa sawa bila kasoro. Ila kwa kinachoendelea sasa hakika wanaume tunaona aibu kwakeli tumetawala hii nchi kwa miaka 60 lakini huyu...
  17. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

    Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe. Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya 'Wanawake Wanaoongoza katika Huduma za Fedha

    International Finance Corporation (IFC) leo Juni 24, 2021 inazindua Ripoti ya 'Wanawake Wanaoongoza katika Huduma za Fedha: Uchunguzi wa Usawa wa Kijinsia katika Sekta ya Huduma za Kifedha za Tanzania' #JamiiForums ===== UPDATES; ====== Jumoke Jagun-Dokunmu: International Finance...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wapiganaji/watafutaji hupitia mengi

    Wanawake watafutaji hupitia mengi ila Mungu yu pamoja nanyi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…