Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi.

Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake.

Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa wakiwalazimisha wanawake kushuka kwenye bodaboda na kisha kuwacharaza viboko kama adhabu.

Viongozi hao walihoji kuwa wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Pia waliongezea kuwa hugusana na waendeshaji wao jambo ambalo halifahi kabisaa.

Kauli yake ilikaririwa na Diwani wa Bunge la Kaunti ya Lamu, Amani Kale ambaye aliwashauri wanawake wenzake Waislamu kujiepusha kutumia bodaboda hususan kama hawana jambo la dharura.

1626174064399.png

Chanzo: Tuko
 
Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi

Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake

Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa wakiwalazimisha wanawake kushuka kwenye bodaboda na kisha kuwacharaza viboko kama adhabu

Viongozi hao walihoji kuwa wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Pia waliongezea kuwa hugusana na waendeshaji wao jambo ambalo halifahi kabisaa.

Kauli yake ilikaririwa na Diwani wa Bunge la Kaunti ya Lamu, Amani Kale ambaye aliwashauri wanawake wenzake Waislamu kujiepusha kutumia bodaboda hususan kama hawana jambo la dharura.

Chanzo: TUKO
 
Kwahiyo hata mabasi wasipande maana anaweza kukaa siti pembeni mwanaume siyo mme wake...

Hizi imani hizi..... wazungu na waarabu walituweza kwelikweli.... maana waafrika hivi sasa tunajifanya tunazijua kuliko wao...

Pumzika kwa amani Mangi Horombo na wengine... tunasikitika imani zenu mababu zetu zimepuuzwa sababu ya hawa watu weupe....
 
Huko dini iilikotoka hadi wamepigwa marufuku kuendesha magari hata kama wako wanawake watupu..kazi sana
 
Hii Ni Aibu,utaskia pia wakikataza wanawake wasifanye Kazi kwa Hoteli wasiwapikie wanaume wengine,Hizi Ni vikwazo vya kipumbavu

Wivu na maradhi ni miratul Rasul

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَـٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ ۖ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ ۚ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ۚ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ ۚ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 53 ]
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom