wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake na watoto wawekwa kizuizini zaidi ya masaa 9 kwa kukosa mchango wa Shule

    Wananchi wa kijiji cha luduga kilichopo wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe wamelalamikia kitendo cha viongozi wa kijiji hicho kuwakamata na kuwaweka ndani ya ofisi kina mama wakiwa na watoto wadogo kwa tuhuma za kutolipa mchango wa ujenzi wa shule ya sekondari. Wakizungumza na mwandishi wetu...
  2. Wanawake wa Tanga ni nomaaaaa!!!! Nimenyosha mikono

    Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha...
  3. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  4. USHUHUDA: Wanawake wenye Miguu ya ngamia wamebarikiwa sana

    Wakuu, bila kupepesa macho Hawa Wanawake walobarikiwa miguu ya NGAMIA (CAMEL TOE) wamejaaliwa Sana kunako 6 kwa 6. Nikiongelea MGUU wa NGAMIA, (kwa kingereza-CAMEL TOE) namaanisha vile vitumbua vilivyovimba na kutokeza kwa mbele. Utafiti wangu umeonyesha haijalishi awe sura nzuri au mbaya...
  5. B

    Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  6. Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

    Unajua bhana sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha kupotezeana muda. Hili ni kosa kwa mwanamke ukimwambia kama humtaki/humpendi atakuchukia milele...
  7. B

    Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  8. M

    Dada zetu ( Wanawake ) mnaompangia Mwenyezi Mungu tena kwa Kumlazimisha awapeni Mtoto wa Jinsia fulani achaneni upesi na huu utaratibu

    Kuna Dada Mmoja wa Mtaani Yeye alibahatika sana kupata Watoto wa Jinsia ya Kiume tena Wawili kabisa. Huyu Dada baadae akawa anatamani mno kupata Mtoto wa Kike na akawa anahangaika kwenda Kanisani Kuliombea hilo na kuna muda hadi kwa Waganga alishaenda vile vile. Kilichotokea ni kweli alibeba...
  9. M

    Kwanini Wanawake wakati wa Mvua huchangamka na Kuipenda, ila Wanaume huwanyong'onyesha na huichukia?

    Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo au hapana. Watanzania ni Watu wa Vituko sana tu.
  10. Matukio ya Wanawake kuuawa na wenza wao pamoja na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi yanazidi kuongezeka

    Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019. Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
  11. A

    Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

    Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake. Leo mama mtu hana hata habari kuwa anavyomlea mwanae ni kama anamuandaa Wema Sepetu wa baadae na...
  12. Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

    Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe. Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
  13. Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania? Akina...
  14. Hivi wanawake huwa mnasamehe kweli baada ya muda gani?

    Habari za wikiendi wakuu, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwa linalonitatiza. Kama mnavyojua kuwa kukosea ni sehemu ya maisha na mda mwingine ni njia moja wapo ya kujifunza(sihalalishi kukosea kuwa ni sahihi). Baada ya kutambua kosa ni kuomba samahani na hapa kuna...
  15. Hivi kwanini wanawake hamtaki kukataliwa?

    Hello, Nawasalimu kwa jina la MMU, Ukiwa handsome kila mwanamke atakutaka,uwe na hela usiwe nazo poa...si wadada si wake za watu..si mtaani si kazini...utafuatwa hadi na mashoga..huko fb na insta utapata tabu..kaka nakufananisha..kaka mambo?naomba namba yako kuna kitu nataka unishauri😀 KIBAYA...
  16. Kwanini wanawake na wasichana wanapenda sana kutoboa pua na kuvaa vipini siku hizi?

    Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
  17. Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  18. K

    Dkt. Anna P. Makakala ni kielelezo kwamba wanawake wakiaminiwa wanaweza

    Katika utawala wa JPM mwanamke aliyekabidhiwa kazi ngumu na akaimudu bila kujitutumua au kuonyesha ule uwanawake au kuonyesha kukwamishwa na mfumo dume ni Kamishna Jenerali wa Uahamiaji Dkt. Anna Makakala. Nikiangalia taasisi anayoongoza hatua ilizopiga kwenye huduma, nikifuatilia kauli zake...
  19. Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
  20. Utafiti rasmi: Ndoa nyingi na mahusiano mengi yamevunjika baada ya Wanawake kuamini sana ndumba

    Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…