wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ni kweli mambo haya 6 yapo kwa wanawake?

    1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli? Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani? 2. Hivi ni kweli kwamba Mwanamke hamsahau Mwanaume aliyemvunja bikira? - Inaamaana mpaka atakapokuwa bibi...
  2. I

    SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
  3. Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  4. Baadhi ya wanawake wanaojiheshimu hawajui nini wanaume wanataka, kunapelekea wengine kutoolewa kabisa

    Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia wanajua nin wanaume wanataka, mfano unamkuta mwanamke ana miaka 24 na kuendelea unamtongoza...
  5. Ukiwa na pesa, gari au mtanashati wanawake hawakatai ukiwatongoza

    Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto. Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo! Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay...
  6. K

    SoC01 Shule maalumu za Sayansi kwa wanawake za Mama Samia Hassan Suluhu

    Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Hassan Suluhu ambaye ni Rais wa Kwanza Mwanamke katika Taifa letu pendwa Tanzania na Afrika Mashariki. Pili nitoe pongezi zangu za dhati kwa upeo wake mkubwa na nia ya dhati ya kuendeleza nchi yetu pendwa...
  7. K

    SoC01 Ushauri: Jinsi ya kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na waume zao kulea watoto

    UTANGULIZI SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
  8. Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  9. Matumaini kibao tozo mpya za simu, wanawake waziunga mkono, wamtaka waziri asonge mbele bila kutetereshwa

    Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini. Walisema tozo hizo...
  10. Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha. Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri. Njoni mie mie nimeanzisha tu.
  11. Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  12. Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

    Mimi binafsi na roho yangu na Wivu wangu nimekataa, Kwanza hata mkataba wangu na yeye hausemi hivyo..... na kuna vitu vingi hatufanya hiyo pesa ya kugawa kwa mwanamke mwingine inatoka wapi😅😅😆😆😆 Wanaume mnavyolalamika wanawake wamekua watata kwenye hili mtaweza kweli?? Mwanamke mwenzangu...
  13. Wakuu tutumieni nafasi hii adhimu ya kupanda gharama za miamala kuwataka wanawake waijie pesa tunapoishi ili iwe win-win event

    Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala hawa mamluki wa Lucifer.
  14. J

    Kuna watu wameanza kuleta chokochoko hii kauli chadema kuweni nayo makini wanawake ni wakatili zaidi

    Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
  15. S

    SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  16. SoC01 Udhibiti wa posa chafu kwa Wanawake

    Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume. Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
  17. J

    Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

    Habari za mchana huu. Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo. Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio nzuri. Naomba tusiwasimange wanawake ambao hawajaolewa kwa maneno ya kejeli au dharau. Kufanya hivyo...
  18. Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
  19. Tabia za wanawake na sifa zao

    Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA warefu huwa hawawajali WAPENZI wao na hawaogopi MAHUSIANO kuvunjika pia hawajui kupetpet (3):WASICHANA...
  20. Kwanini wanawake wanaweza ku survive wakati sisi tumewazidi kiuchumi

    Unakuta mnafanya kazi wewe Mwanaume unalipwa 20000 kwa siku ila unayumba balaa mikopo unayo na bado hazitoshi kabisa hata boxer tu au sendo kununua inakuwa kipengele lakini unakuta mdada analipwa 10000 kwa siku ila ana survive kinyama kuliko wewe anakuwa na vitu vingi, perfume, mazagazaga kibao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…