Taliban warusha risasi kutawanya Wanawake waliokuwa wakiandamana

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,314
5,478
Wanawake waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kuwa na huru Nchini Afghanistan wametawanywa na Wanamgambo wa Taliban ambao pia walitumia nguvu kuwashambulia kwa kuwapiga na kufyatua risasi hewani Jijini Kabul.

Mbali na kuwapiga baadhi yao, pia Wanamgambo hao walichukua simu za waandamanaji hao waliokuwa zaidi ya Wanawake 40.

Ikiwa umesalia muda mfupi kabla ya kutimiza mwaka mmoja wa kuwa madarakani, Taliban wameshutumiwa kuminya haki za Wanawake katika kufanya kazi, kuwawekea ukomo wa elimu na Wizara ya Masuala ya Wanawake kuvunjwa.

------------------------

Taliban fighters have dispersed dozens of female protesters in Kabul, almost a year after the militant group seized power.

About 40 women marched through the Afghan capital demanding rights, before the Taliban broke it up by firing into the air.

The fighters seized their mobile phones, stopping one of the first women's protests in months.

Since the Taliban takeover, women rights' have been severely restricted.

The protesters chanted demands for "bread, work and freedom", carrying a banner reading "August 15 is a black day" - a reference to the day the Taliban captured Kabul in 2021.

"They didn't beat us much this time," one of the protesters told the BBC.

"They acted differently than earlier protests [when we were beaten]. They fired shots in the air. Though we're afraid we came out to advocate for the rights of girls, so that at least the Taliban will open schools for them."

In the year since the Taliban returned to power, they have issued various orders restricting the freedom of women - barring them from most government jobs, secondary education and from travelling more than 45 miles (70km) without a male guardian.

In May, the militants decreed that Afghan women will have to wear the Islamic face veil for the first time in decades.

If a woman refuses to comply, her male guardians could be sent to jail for three days - although this is not always enforced.

There have been minor sporadic protests over the past year, but any form of dissent is being crushed.

Afghanistan is the only country in the world that officially limits education by gender - a major sticking point in the Taliban's attempts to gain international legitimacy.

Girls have been banned from receiving secondary education, the ministry for women's affairs has been disbanded, and in many cases women have not been allowed to work.
 
Inakuuma nini akishughulikia ya Taliban. We unafanya nini kwenye jukwaa la kimataifa
Mataifa ni zaidi ya Taliban.
Na wala hainiumi kitu lakini haiongezi wala kupunguza lo lote katika maisha yake. Akisha kusoma akaelewa yeye si basi.
 
Ndio mana wakipataga upenyo..hao usa na ulaya..huwezi mfuga mwanadamu kama mbwa kwenye banda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkiangalia kijuu juu mnaweza kuhadaika mkafikiri labda wanawake hao wamekurupuka asubuhi moja na kukata shauri kuanza kuandamana wakati Serikali ya Wataliban inakaribia kuazimisha mwaka mmoja tangu Uncle SAMs forces ziondoke mkuku kutoka Afghanistan.

Ninacho taka kusema hapa ni kwamba maadamano ya akina mama yamepangwa na kuwa funded na western Intel agencies kwa kupitia NGOs za uongo na kweli, lengo likiwa kuiharibia sifa Serikali ya Afghanistan Duniani kwamba licha ya kutaka kuazimisha mwaka mmoja wa kuwepo madarakani lakini hawafai, ikiwezekana iondolewe madarakani kwa njia ya maandamano ie colour revolution.

Serikali yao ikizichunguza simu za akina mama hao ndio watagunduwa mambo mengi kuhusu hasa ni akina nani wanawasiliana nao especially NGOs au Balozi zinazo husika kuwa-instigate/incite na kuwapatia fedha za kuchochea vurugu, kumbukeni wenzetu wa Serikali za magharibi wana mbinu nyingi sana za ku-distablize nchi ili zisitawalike.
 
Sasa wanawake 40 kulikuwa na haja ganj ya kutumia siraha,?
Ilifaa itumike nguvu kidogo tu kuwaondoa
 
Lakini hao watalibani si wanafata sheria na mambo aliyoyaishi mtume. Iweje tena waonekane wanaonewa?
 
Jamani raia wa huko wanakazi Mungi awape wepesi wanawake wote wa huko
 
... wafia dini inayompa mwanamke daraja ya juu kabisa kuliko viumbe vyote wawachapa risasi wanawake kwa kudai haki zao! Interesting!
 
Mataifa ni zaidi ya Taliban.
Na wala hainiumi kitu lakini haiongezi wala kupunguza lo lote katika maisha yake. Akisha kusoma akaelewa yeye si basi.
Yeye haiongezi kitu kufuatilia Taliban. Wewe mwenyewe haiongezi kitu kufuatilia. Kuna majukwaa mengi tu unaweza enda usikereke. Humu International Forum paache
 
Mkiangalia kijuu juu mnaweza kuhadaika mkafikiri labda wanawake hao wamekurupuka asubuhi moja na kukata shauri kuanza kuandamana wakati Serikali ya Wataliban inakaribia kuazimisha mwaka mmoja tangu Uncle SAMs forces ziondoke mkuku kutoka Afghanistan.

Ninacho taka kusema hapa ni kwamba maadamano ya akina mama yamepangwa na kuwa funded na western Intel agencies kwa kupitia NGOs za uongo na kweli, lengo likiwa kuiharibia sifa Serikali ya Afghanistan Duniani kwamba licha ya kutaka kuazimisha mwaka mmoja wa kuwepo madarakani lakini hawafai, ikiwezekana iondolewe madarakani kwa njia ya maandamano ie colour revolution.

Serikali yao ikizichunguza simu za akina mama hao ndio watagunduwa mambo mengi kuhusu hasa ni akina nani wanawasiliana nao especially NGOs au Balozi zinazo husika kuwa-instigate na kuwapatia fedha za kuchochea vurugu, kumbukeni wenzetu wa Serikali za magharibi wana mbinu nyingi sana za ku-distablize nchi ili zisitawalike.
Hakunaga majibu tofauti na kuwasingizia wazungu..kila linapozuka jambo middle east ni wazungu.

Napingana na wewe kwa 100 hivi tuongee tu ukweli katka Dunia ya Sasa unaweza zuia mwanamke asisome. Asiajiriwe. Asiendeshe gari. Asiwe na uhuru wake hata kama ni dini. Mbona huku kwetu mama ndo rais. Mbona hamjapga kelele kama kweli yanayfanyika huko ni sahihi? Wanawake Wana uwezo mkubwa sana katika mchango wa kimaendeleo katka Dunia ya Sasa.

Ebu nikuulize mwanajukwaa mwenzangu uislamu unazuia wanawake wasisome. Wasiajiriwe au kufanya kazi. Wasiwe vyongozi. Wasiendeshe magari. Kufanya Biashara kubwa kubwa?
Je Kuna sheria hiyo?
Na kama ipo kwanini iwazuie?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom