Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter & runner 😜
Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match hujaielewa, ndo hivyo ukiondoka unakuwa umeondoka na blocks kwa sana au kalenda zinaanza, kumbe hujaelewa...