Wanawake wanaojiuza kwa kudanga ni wabaya zaidi ya wale wanaojiuza wazi wazi

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe mwenzako ni mdangaji mmepangwa kama watano bila ya kujua.

Sitetei malaya hapana lakin ni Bora mwanamke anayejiuza wazi wazi kuliko mdangaji sababu mwanamke anayejiuza wazi wazi hata ukiruka naye lazima utakua makini sana.

Kutoka na ugumu wa maisha Kuna wanawake wengi sana ambao huwez tegemea lakin ni wadangaji na ndo wanaongoza kuwapanga Wanaume wengi na ni rahisi sana kupata magonjwa ya zinaa kutoka kwenye hili kundi zaid hata ya malaya.
 
Halafu ukizingatia kuwa kumbe tunashika namba 5 duniani kwa umeme ni shida sana! Kuweni waangalifu!
IMG-20221201-WA0054.jpg
 
Tatizo la wanawake wadangaji,

Huamini Kila mwanaume anaemdanga hajijui Kama anadangwa.

Wengine tunaweza jijua kabisa hapa tunadangwa na tukakausha TU kusudi na kustick na kilichotupeleka.

Maana tulichofata kwa mwanamke mdangaji sio mapenz Bali ni ngono tu.

Wengine hufuata
-nyota (Kuna wadangaji wengine wana upepo wa pesa) n.k

Ila lengo kuu,
Ni Tukojoe vizuri tufurahishe nafsi zetu
Kisha tukafanye mambo mengine Zaid ya kimaendeleo.
 
Umeongea kimaster sana mzee, Kiufupi naona ni bora tu kupiga malaya wanaojipanga maana hawa wanaojifichia kwenye saloon za kike na Barbershop ni mwendo wa Gono tu, alfu anakuzugia eti anakupenda ndjo inakua vibomu kila uchao.?
 
Mwanamke yeyote mwenye gono ama magonjwa ya zinaa ni lazima atakuwa ananuka papuchi!,kanuni ni moja tu pima oil kabla ya yote nusa kama oil ushachoka mwaga manyaga
 
Kuna jamaa yetu anajuta na mkoa kuku wanafugika na vitunguu vinatoka
 
Mabingwa wa kuwabambika mimba wanaume.Manake anavyo wachanganya wanaume mpaka yeye mwenyewe anachanganyikiwa mpaka inafika kipindi hajui mimba ya nani.
Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe mwenzako ni mdangaji mmepangwa kama watano bila ya kujua.

Sitetei malaya hapana lakin ni Bora mwanamke anayejiuza wazi wazi kuliko mdangaji sababu mwanamke anayejiuza wazi wazi hata ukiruka naye lazima utakua makini sana.

Kutoka na ugumu wa maisha Kuna wanawake wengi sana ambao huwez tegemea lakin ni wadangaji na ndo wanaongoza kuwapanga Wanaume wengi na ni rahisi sana kupata magonjwa ya zinaa kutoka kwenye hili kundi zaid hata ya malaya.
 
Nilishawahi kusema hapa MALAYA WANOJIUZA IWE KWENYE MITANDAO AU WANAOJIPANGA NI WATU MUHIMU SANA KWENYE JAMII

Hakunaga stress, pesa yako tu kila aina ya mgegedo unapata ukitaka night au short time wewe tu na mfuko wako
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom