Wanawake ‘hit and run’

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
27,961
65,109
Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter & runner 😜

Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match hujaielewa, ndo hivyo ukiondoka unakuwa umeondoka na blocks kwa sana au kalenda zinaanza, kumbe hujaelewa mchezo, hujaelewa yaani.

So wanaume tukisema tunataka ndoa kabla ya sex muwe mnatuelewa basi, at least huko ndani tutavumiliana. Sometimes money is not everything aisee, kama ambavyo huwa hampendezwi na kitu nasi ni hivyohivyo kaka zangu.

Kwa wanawake tu kama imewahi kukuta, mwanaume ukisoma ukijisikia kutukana ni ruksa, napokea +ve & -ve comments
 
Back
Top Bottom