Swali kwa Mliooa wanawake wenye watoto

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Nov 14, 2022
1,759
2,794
Ndg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote,
hope mko vizuri.

bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa:

je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani?

na kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulijisikiaje, na ulifanya nini?

Jamani tusaidiane haya mambo yapo na yataendelea kuwepo..

Mkuu PLO, tuko pamoja bega kwa bega.
 
Muhimu tenda wema nenda zako unachopanda kwao ndicho unachovuna. Kama ulipanda wema kwao utavuna wema but inategemea na mama yao ambae ni mkeo kipi kawalisha plus akili ya mtoto husika kama anayo akili ya kutambua uthamani uliompa kama mlezi wake.
 
Divide and rule them. Unapo na mwanamke mwenye mtoto na wewe hakikisha unamzalisha. Utakuwa ume divide hisia zake bond yake na watoto pia hata na ex wake. Then unaanza kutoa amri kama mzazi
 
Ndg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote,
hope mko vizuri.

bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa:

je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani?

kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulifanya nini?

Jamani tusaidiane haya mambo yapo na yataendelea kuwepo..

Mkuu PLO, tuko pamoja bega kwa bega.
Asante mkuu, nawe pole sana,. Malezi ya Hawa watoto Kuna mahala yalikosewa, ndo tatizo lilianza hapo
 
Back
Top Bottom