wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na namna wanawake wanavyotengwa na sisi wanaume misikitini na kwenye mazishi hujifanya nijione kidume

    Mimi ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao. Yani nikiwaona wanawake wako nyuma wamekaa peke yao wamejifunika kanga au shungi au sisi wanaume tunapanda magari kwenda kuzika wao tunawaacha nyumbani...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

    Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako. Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa. Hebu...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

    Habari za usiku. Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu. Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa ndoa kwa mchepuko kwa kiwango cha lami kabisa Leo nikiwa niko saloon nasafisha kucha, akaja mdada...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia za hovyo 17 hizi hapa walizonazo wanaume Malaya/mabaharia/Players

    Nimeitoa mahali huko FB na nimeona pana ukweli 1. Hawatuliagi na mwanamke moja 2. Wanapenda kudinya tu, hawana mapenzi ya dhati 3. Wana vipaji sana kwenye kudanganya 4. Huongea kwa utaratibu kwa hisia kali pindi wanapotongoza 5. Ni wavunjaji wakubwa wa mioyo na kuwaacha na maumivu mabinti...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

    Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati. Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso. Ndiyo maana wanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Neno/Ujumbe kwa wanaume wote

    Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu.
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini wanaume wa kikongo hata walioko Tanzania hupenda kuvaa kitajiri wakati ni maskini? Angalia video

    Wanaume wa kikongo hupenda kuvaa kitajiri sana hata kama wanaishi maisha ya chini pa kulala pabovu Sababu yake hiyo hapo
  8. JamiiForums Tanzania Utegemezi wa Wadada kwa Wanaume au wapenzi wao

    Kwa asilimia kubwa wadada wengi ni wategemezi kwa wanaume au wapenzi wao, hata kama wao wana kazi nzuri inayowalipa vizuri lakini bado watategemea cha mwanaume wake. Kwa hali hiyo wakuu si bora uoe au utafute mpenzi (mdada) ambaye ni jobless tu. Cha kwake ni cha kwake, na cha kwako ni cha kwenu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume: Mnapenda wapole au Wanafiki?

    Habari wanajamvi. Nimekuwa najiuliza hili swali, Wanaume mnapenda Mwanamke yipi haswa? Nina marafiki wa kiume na hata kaka zangu ambao huwa naongea nao kuhusu mahusiano. Utakuta yupo na mwanamke muda mrefu halafu Mara tu unasikia ameoa mwanamke mwingine, baadae anataka kumrudia wa zamani awe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wawili au kuwa na watoto wa mama tofauti kwa dunia ya leo ni kujitafutia matatizo

    Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

    Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ana shida gani na wanawake? Mbona huwatolea mifano mingi ya kudharirisha au unyonge na kuwatoa uthamani?

    Rais Magufuli: Nimewaelewa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Wananchi kuwa mnataka barabara ya lami itoke hapa (Kisarawe) hadi Mbuga ya Taifa ya Nyerere - Ndugu zangu nimekubali, ili Wasukuma wawe wanapita hapa na kuchukua Wanawake kwenda nao Mbugani na kuwarudisha hapa #JFMagufuli
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni msimamizi wa Mwanamke

    1. Allah alivyotuweka wazi kuwa WANAUME NI WASIMAMIZI WA WANAWAKE. Si tu aliwapa ukichwa tu mjimwambafy. Ni kwamba mtakuja kuulizwa juu ya usimamizi wenu. MAANA YAKE MWANAMKE AKIYUMBA TU UJUE MWAUME ULIYUMBA KWENYE USIMAMIZI WAKO KABLA YA KUYUMBA MWANAMKE. Ukiona mwanamke ameharibikiwa ujue...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume mkoje?

    Weweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona. Sijawahi hata kukuona kwa machooo. Hii nikali sana . Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,... Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana?? Watu wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

    Hivi kwanini mnajidhalilisha? Iko hivi, kuna mkaka mmoja alinitoa..anaonekana dume six pack ila hamna kitu kwenye gemu. Eti dakika 5 kashamaliza anahema ka mjusi hata hajielewi, akazima kabisa nikampepea akazinduka hawezi round nyingine. Kama mnajua hamna chaji ya nini kututia shombo?
  17. JamiiForums Tanzania Wadada mambo ya kujilinganisha na wanaume mliotoa wapi

  18. JamiiForums Tanzania Pale mume mkomoaji naye anapokutana na wanaume wanaojua kukomoa zaidi yake

    Lawrence Ripple, alienda kuiba benki, lakini baada ya kuiba aliendelea kubaki hapo akisubiri kukamatwa na Polisi. Alipokamatwa na kuhojiwa alidai ni bora akaishi jela kuliko kuendelea kuishi na mke wake mkorofi, baadaye alihukumiwa kifungo cha kukaa nyumbani kwa miezi 6. Chanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna shahawa za wanaume zinazokondesha na nyingine kunenepesha wanawake?

    Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya. Je, kuna ukweli hapo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…