wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Mbinu za kuzuia kufika mapema on top

    1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra...
  2. JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wanaojiheshimu hawajui nini wanaume wanataka, kunapelekea wengine kutoolewa kabisa

    Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia wanajua nin wanaume wanataka, mfano unamkuta mwanamke ana miaka 24 na kuendelea unamtongoza...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

    Watu wa humu hasa wanaume mmjue kwamba mtu akitoa post au akikoment jamboo sio anawahitaji . Sijui kwa wengine ila kwangu mimi HAPANA siitaji mtu wala nini. Shida ya watu wa humu ni mtu tu yupo inbox mnachart upupu wala hamuonani na wala hamuwezi kufika mbali. Saivi maisha nikuonana nasio...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na huu wivu wetu dhidi ya Wake/wapenzi wetu

    Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara hivi Mara vile kwa hawa wenzetu huwa wanateseka sana na scenario kama hiyo na usipokuwa makinu unaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

    Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo. 1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

    Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎 mimi nasema: Wape Bia. Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna nguvu za kiume huna budi kuwa nazo ikiwa tu utataka kumfaidi mwanamke kunako 6 kwa 6, bila hivo...
  8. JamiiForums Tanzania Wewe mdada kama mtu humtaki mwambie ukweli

    Wanawake hasa wadada, mnapotongozwa na Wanaume na kujibu; Nipo kwenye mahusiano huku ikiwa si kweli, haupo kwenye mahusiano yoyote; Upo unasikilizia kwa Mwanaume atakayekuja, ila jibu la nipo kwenye mahusiano, uwa kama njia rahisi kwenu ya kumkataa Mwanamume yule usiyempenda kwa sababu na vigezo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

    Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  14. JamiiForums Tanzania SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

    Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu. Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
  15. JamiiForums Tanzania Amakweli wanaume wa huu mkoa, mmevunja rekodi kwa kupandisha bendera hadi kileleni..😂🤣

    Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele. Sasa...... Wale nzi walipo anza kurukaruka ndani ya ile nailoni na wakiwa wanamuuma na kumkanyaga mwamba kwenye kichwa kidogo, kumbe...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume watabakia kuwa wanaume tu!

    Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh.500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  19. JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

    Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751] Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…