Wanaume andikeni majina ya mama zenu kwenye hati ya viwanja na nyumba

jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
500
820
Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali.

Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua mkopo huo kwa siri bila mmewe kujua na baadae mambo yakamuendea kombo jamaa wa mikopo wakaja kupiga nyumba mnada

Unajua nini kilitokea..

Nyaraka za nyumba na kiwanja si za kwao, za mama mzazi wa mwanaume kwa hiyo kesi ikamgeukia mwanamke ajibu na alipe mkopo.

Ndoa ikavunjika na wakati wa kugawana Mali mwanamke aliambulia nguo zake na jiko la mkaa na vyombo.

Hili ni kwa wanawake wachumaji ila kwa mwanamke material aliyekamilika unaweza ukamfikiria, japo wanawake wapo kama kinyonga unaweza kubadilikiwa anytime.

Kuwa muangalifu tulinde musitakabali wa familia zetu
 
Aisee.
Ni wazo zuri kwenye mazingira kama hayo. Ila kwa upande wa pili inaweza ikawa mwiba mchungu kwa watoto wako na mke kudhulumiwa nyumba na ndugu zako iwapo mume utafariki.
Shida itaanzia hapo, haya mambo ni very complicated
 
Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali.

Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua mkopo huo kwa siri bila mmewe kujua na baadae mambo yakamuendea kombo jamaa wa mikopo wakaja kupiga nyumba mnada

Nyumba ni mali ya watoto(Wakiwa chini ya 18) si mme wala mke! Wakifika 18 na kujitafutia maisha inabaki nyumba mali ya familia.
 
Napenda sana wanaume tuwe hivi na nafurahi sana kusikia mwanaume amemshinda mwanamke.

Wanaume tuaachane na hizi habari za kuendekeza Hawa wanaeake na kukiri udhaifu kuwa sijui ukimjua mwanamke siku zako za kufa zimekaribia hiyo yote ni kitutisha ili waendelee kutufanyia upuuzi.
 
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom