wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume Uganda wawatamani warembo wa Afghanistan

    Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili salama na kwamba wamekuwa wakisambaza picha za wanawake hao warembo na kusema anatumaini hawatotoka chama cha wanaume bahili. Waziri Amongi ameandika hayo...
  2. Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

    Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99 Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
  3. Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na...
  4. Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

    Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?
  5. Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

    Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke. Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara. Aidha, upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.
  6. Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  7. D

    Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba! Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege! Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na ili uone radha unatakiwa ufanye bao moja tu usepe zako, uzungukee wee halafu ufike tena ukamate upige...
  8. Hivi Tanzania hakuna uzazi wa mpango wa wanaume?

    Habari zenu wakuu, Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23] Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30, anawatoto wanne kila mmoja na Mama yake, Ukipiga nae story atakwambia jinsi gani anajuta kuwa na Watoto...
  9. Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
  10. Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
  11. SoC01 Jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu kwa wanaume kwa kutumia nguvu za kiroho

    Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...
  12. J

    Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
  13. K

    Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  14. Laura Pettie: Hivi karibuni, matukio ya kikatili dhidi ya wanaume yanaibuka kwa kasi

    PETROLI TENA... Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni. ------------------------- Hili ni tukio lingine...
  15. Kwa wanaume: Mbinu za kuzuia kufika mapema on top

    1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra...
  16. Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  17. Baadhi ya wanawake wanaojiheshimu hawajui nini wanaume wanataka, kunapelekea wengine kutoolewa kabisa

    Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia wanajua nin wanaume wanataka, mfano unamkuta mwanamke ana miaka 24 na kuendelea unamtongoza...
  18. Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

    Watu wa humu hasa wanaume mmjue kwamba mtu akitoa post au akikoment jamboo sio anawahitaji . Sijui kwa wengine ila kwangu mimi HAPANA siitaji mtu wala nini. Shida ya watu wa humu ni mtu tu yupo inbox mnachart upupu wala hamuonani na wala hamuwezi kufika mbali. Saivi maisha nikuonana nasio...
  19. Wanaume tuwe makini na huu wivu wetu dhidi ya Wake/wapenzi wetu

    Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara hivi Mara vile kwa hawa wenzetu huwa wanateseka sana na scenario kama hiyo na usipokuwa makinu unaweza...
  20. Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

    Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo. 1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…